HAJI MANARA AFUNGUKA MENGI HAYA HAPA KUHUSU SIMBA


Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amesema kuwa endapo hata wangepangwa na timu za Juventus, Barcelona au hata Manchester City kwenye makundi Ligi ya Mabingwa wangepata alama tisa nyumbani.

Kauli hiyo ya Manara imekuja kufuatia timu ya Simba kuchukuliwa kama kundi dhaifu ambalo imepangwa na vigogo kadhaa katika Ligi ya Mabingwa Afrika ikwemo Al Ahly ya Misri.


LihatTutupKomentar