LIVERPOOL YACHAPWA MO SALAH ATIA HURUMA

Nyota wa Liverpool, Mohamed Salah akiwa mnyonge baada ya timu yake kufungwa 2-0 na wenyeji, Red Star Belgrade mabao yote yakifungwa na Milan Pavkov dakika za2 na 29 katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Rajko Mitic mjini Belgrade, Serbia

LihatTutupKomentar