JOSE MOURINHO AKUBALI AFUNGUKA HAYA

JOSE MOURINHO AKUBALI

Meneja wa klabu ya Manchester United Jose Mourihno,amesithibisha kuwa mshambuliaji wa klabu hiyo Lukaku,kuwa hadi sasa ameungana na kikosi hicho cha mashetani wakundu wa jiji la London katika mazoezi ya kujiandaa na mechi kali inao wakabili dhidi ya manchester city (Derby ya manchester) Mourihno amesithibisha kuwa Lukaku atarejea kwenye mechi hiyo,mechi ambayo itachezwa majira ya saa 19:30 kwa saa za Afrika ya mashariki. 

LihatTutupKomentar