HAJI MANARA AFUNGUKA HAYA MECHI YA TAIFA STARS VS LESOTHO LEO

Ujumbe wa Haji Manara kuelekea mechi ya Taifa Stars na Lesotho

Huu ndiyo Ujumbe Aliouandika Haji manara afisa habari wa Simba kuelekea mchezo wa Taifa Stars dhidi ya Lesotho Leo.

Joto nililonalo hapa Lesotho leo huwa linanijia Siku tunapocheza na wale jamaa tu!! Usingizi wangu haukuwa murua usiku wa kuamkia leo! Lakini Inshaallah Watanzania leo ni zamu yetu!!
Tumuombe Mola awape nguvu,uzalendo,utaifa na ari Wachezaji wetu ili heshma ya nchi kwenye soka irudi  Nawaomba Watanzania wote leo tuache tofauti zetu za kiitikadi na kishabiki tuiombee nchi yetu

 

 

JOTO NILILONALO HAPA LESOTHO LEO HUWA LINANIJIA SIKU TUNAPOCHEZA NA WALE JAMAA TU!! USINGIZI WANGU HAUKUWA MURUA USIKU WA KUAMKIA LEO! LAKINI INSHAALLAH WATANZANIA LEO NI ZAMU YETU!! TUMUOMBE MOLA AWAPE NGUVU,UZALENDO,UTAIFA NA ARI WACHEZAJI WETU ILI HESHMA YA NCHI KWENYE SOKA IRUDI  NAWAOMBA WATANZANIA WOTE LEO TUACHE TOFAUTI ZETU ZA KIITIKADI NA KISHABIKI TUIOMBEE NCHI YETU


LihatTutupKomentar