Mwanasoka Bora wa Dunia wa FIFA, Luca Modric akiwa chini analalamika wakati wa mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi Uwanja wa de Mendizorroza mjini Vitoria-Gasteiz dhidi ya wenyeji, Alaves walioshinda 1-0, bao pekee la Manu García dakika ya 90 na ushei hiyo ikiwa mechi ya nne wanacheza bila kushinda au kufunga japo bao