Ligi kuu Tanzania Bara imeendelea katika viwanja mbalimbali ambapo leo kulikuwa na michezo minne , timu ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Alliance Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Yanga imefanikiwa kuendelea kuonyesha maajabu ya soka kwa kutufungwa mchezo wao wa 7. Matokeo ya michezo mingine leo ni kama ifuatavvyo:-
Tanzania Prisons 0-0 Singida United ,Uwanja wa Sokoine,Mbeya.
Biashara United 0-0 KMC ,Uwanja wa Karume,Mwanza.
Coastal Union 0-0 JKT Tanzania ,Uwanja wa Mkwakwani,Tanga.