MONACO YACHAPWA HUKU IKIWA NA KOCHA MPYA



Kocha wa  Monaco, Thierry Henry ameanza vibaya mchezo wake wa kwanza baada ya kufungwa na Strasbourg bao 2-1. Mabao ya Strasbourg yamefungwa na Adrien Thomasson na Lebo Mothiba.

Monaco baada ya kichapo hicho wametupwa nafasi ya pili kutoka katika mkia wa msimamowa Ligi ya Ufarance.








LihatTutupKomentar