CHELSEA YACHAPA MTU HATRICK GODFREY MGAYA Ijumaa, 26 Oktoba 2018 Facebook Twitter Ruben Loftus-Cheek akishangilia baada ya kuifungia Chelsea mabao matatu peke yake dakika za pili, nane na 53 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bate Borisov kwenye mchezo wa L Europa League usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London LihatTutupKomentar Post Selanjutnya Post Sebelumnya