WABABE DIMBANI LEO YAAANI UEFA CHAMPIONS LEAGUE HIYOOO

Kama ni shabiki wa soka hususani la Ulaya naomba nikujulishe kuwa burudani ya kihistoria ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu wa 2018/19 inaanza leo katika viwanja mbalimbali barani Ulaya.
UEFA Champions League msimu wa 2018/2019 inaanza usiku wa leo September 18 kwa michezo nane kuchezwa, kama ni shabiki wa soka na unafuatilia Champions League hii ndio michezo itakayochezwa Jumanne na Jumatano ya September 19 2018.

LihatTutupKomentar