UBELGIJI YAICHAPA SCOTLAND BILA HURUMA

Mshambuliaji wa Chelsea, Michy Batshuayi anayecheza kwa mkopo Valencia akishangilia baada ya kuifungia Ubelgiji mabao mawili dakika za 52 na 60 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Scotland katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Hampden Park mjini Glasgow, Scotland. Mabao mengine ya Ubelgiji yalifungwa na Romelu Lukaku dakika ya 28 na Eden Hazard dakika ya 46

LihatTutupKomentar