STARS YASONGA ROBOFAINLI COSAFA 2017.

Na Mwandishi wetu:




Fainali ya michuano ya kombe la Mataifa ya kusini Mwa Afrika (COSAFA) Baada ya sare ya 1-1 Dhidi ya Mauritus Leo jioni kwenye uwanja wa Moruleng mjini Rustemburg Afrika kusini.


Pongezi kubwa Inaenda kwa Simon Msuva Aliye tokea benchi kipindi cha pili na kwenda kuifungia stars goli Dakika ya 68,Dakika moja tu baada ya Kevin Perticots Aliye tokea nae benchi pia kuifungia Mauritius.


Kwa matokeo hayo Stars inaungana na Botswana,Zambia,Afrika kusini,Lesotho na Swaziland
Na watasubiri mshindi wa lundi B kesho (ijumaa) kukamilisha Nane bora ya COSAFA 2017.
LihatTutupKomentar