TAMBWE BADO NIPO YANGA.

Mshambulijia wa Timu ya Yanga Zmis Tambwe leo hii Ameongez mkataba miaka miwili kuitumikia klabu yake ya Yanga


Tambwe Ambae Alikuwa kwao Burundi,Ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Mabingwa hao wa Tanzania Bara mara Tatu mfululizo


Ikumbukwe kwamba mbali na Tambwe kusaini Leo,Mwingine Aliye saini ni Donald Ngoma Aliye saini jana (jumatano)



LihatTutupKomentar