SIMBA WATUA MJINI TAYARI KWA SIMBA DAY

Mshambuliaji wa simba emmanuel okwi baada ya kutua airport akitokea Uturuki amesema “kambi yao ya Uturuki ilikuwa ya mafanikio makubwa wana kocha mpya ambae ana mbinu nzuri ambae amewapata vitu vingi kwenye maandalizi ya kuelekea kwenye msimu mpya wa ligi.ingawa pre season inaendelea ila tumerudi kwa sababu ya siku yetu simba day”

LihatTutupKomentar