YANGA YAWASAJIRI WAWILI LEO KUTOKA CONGO

Kipa Klaus Nkinzi Kindoki (kushoto) na mshambuliaji Heritier Makambo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wakiwa na jezi za Yanga baada ya kila mmoja kusaini mkataba wa miaka miwili leo mjini Dar es Salaam kufuatia majaribio ya wiki kadhaa chini ya kocha Mwinyi Zahera kutoka DRC pia

LihatTutupKomentar