YANGA YAUNDA KAMATI MPYA

Bodi ya wadhamini ya klabu ya Yanga imeteua kamati maalumu kwa ajili ya kushughulikia usajili na Mikataba yote ya Wachezaji katika kipindi cha mpito.
Wananchama wa klabu hiyo kupitia Mkutano wao Mkuu wameridhia kuundwa kwa Kamati Maalum.
Kamati hiyo itaongozwa na;

Mwenyekiti
Tarimba Abasi Tarimba

Makamu Mwenyekiti
Said Mecky Sadiq

Wajumbe
Abdallah Binkleb
Hussein Nyika
Samwel Lukumay
Mashauri Lucas
Yusuphed Mhandeni
Hamad Islam
Makaga Yanga
Ridhiwani Kikwete
Majid Suleiman
Hussein Ndama

Bodi ya wadhamini ya klabu ya Yanga inaundwa na wajumbe;
George Mkuchika
Mama Fatma Karume
Mzee Jabir Katundu
Jaji Mtaafu Mkwawa
Francis Kifunkwe
LihatTutupKomentar