GOR MAHIA WATETEA UBINGWA WAO YAICHAPA SIMBA 2"BILA

Mashindano ya sportpesa Super Cup yamefikika tamati leo kwa mpambano mkali wa vutanikuvute Kati ya GOR MAHIA VS SIMBA ambapo GOR MAHIA wameigalagaza SIMBA kwa mabao 2-0 haikuwachukua muda mrefu gor mahia kupata ushindi ni dakika ya nne tu walipata bao la kuongoza ambalo lilidumu Mpaka mapumziko
Na kipindi cha pili kilianza kwa kasi huku SIMBA wakitaka kukomboa bao lakini juhudi zaohazikuzaa matunda na Gor Mahia wakaendendelea kupandisha mashambulizi ili kuongeza bao juhudi zao zilizaa matunda mnamo dakika ya 54" Gor mahia wakapata bao la pili kupitia mchezaji wao Tuyisenge
Hadi mwamuzi anamaliza pambano 

GOR MAHIA 2-0 SIMBA



FULL TIME
Gor Mahia 2 – 0 Simba (Kagere, Tuyisenge)

LihatTutupKomentar