RONANDO APIGA MATATU.



Na, Emmanuel Mkome.

Cristian Ronaldo ameifungia timu yake ya Ureno magoli matatu (3) goli la kwanza akifunga kwa penati baada ya kufanyiwa madhambi katika eneo la hatari dakika ya tatu kipindi cha kwanza,Dakika ya 24 Spain ikasawazisha bao kupiti kwa mshambuliji wao Diego Costa, dakika ya 44 Ronaldo akaweka kambani bao lake la pili,na mchezo kwenda mapumziko kwa Ureno ikiwa mbele kwa mabao mawili kwa moja.

Kipindi cha pili kilianza kwa kasi kila timu ikicheza kwa nidhamu ya hali ya juu sana,dakika ya 55 mchezo Diego Costa akaipa timu ya goli la pili.goli lilo ichanganyasana Ureno,dakika ya 58 mchezaji wa timu ya spain Nacho akaipatia goli timu yake,baada ya kupiga shutikali na kulizamisha wavuni,Mchezo ukawa tatu kwa mbili dakika ya 88 Ronaldo akasawazisha goli baada ya kufanyiwa Madhambi.


Cristian Ronaldo amefikisha hat trick ya 51 toka Aanze kucheza mpira katika maisha yake,vile vile ni hat trick ya 51 tangu kuanza kufanyika fainali za kombe la Dunia.
LihatTutupKomentar