DENMARK YAIPA KICHAPO PERU



Na, Emmanuel Mkome.

Mechi ya pili toka kundi C kati ya Peru na Denmark imemaliza kwa Denmark kuipa kichapo cha 0-1 Goli la Denmark likifungwa na Yusuf Yurary dakika  59.huku mshambuliaji wa Peru Cueva hakikosa penati. 
LihatTutupKomentar