TIMU NYINGINE TOKA AFRIKA YAFUNGWA KOMBE LA DUNIA

.

Na, Emmanuel Mkome.

Mechi ya tatu ya kombe la Dunia imemalizaka kweye uwanja wa Saint petersburg,Mchezo kati ya Morocco toka bara Afrika na Ilani toka barani Asia,Mchezo ulimaliza kwa Morocco kupoteza mchezo kwa kukubali kufungwa goli moja kwa bila

Ikumbukwe kuwa Morocco haijawai kushindwa mechi hata moja ya ufunguzi wa kombe la Dunia ikiwa imeshiriki mara tano hadi sasa.

Morocco imekuwa timu ya tatu kupoteza mchezo katika fainali hizi za kombe la dunia,kwa upande wa timu toka Afrika ikiwa timu ya pili kupoteza mchezo.

Hadi sasa timu zilizopoteza mchezo kwa Misri imepoteza kwa kupingwa bao moja toka kwa Uruguay,huku Saudi Arabia nae alipoteza jana.

Mishale ya saa 20:45 kutakuwa na mchezo mkali unao zikutani Portugal (Ureno) dhidi ya Spain hao ni mabingwa wa kombe la Dunia mwaka 2010.

Usikose kutembelea blog hii kwa kupata habari za kina toka kombe la Dunia 2018 toka RUSSIA
LihatTutupKomentar