MATOKEO NIGERIA VS ARGENTINA "ARGENTINA WAPENYA KWENYE TUNDU LA SINDANO

Mchuano umekamilika: Nigeria 1-2 Argentina
Kwa Manchester United ni beki wa benchi, lakini kwa Waargentina ni Shujaa.
Huenda asifunge bao lenye umuhimu kama alivyofunga leo dhidi ya Nigeria maishani mwake.
2m
Mechi zimekamilika:
 Nigeria na Iceland nje
 Argentina wajiunga na Croatia!

MATOKEO
Nigeria 1-2 Argentina,
 Iceland 1-2 Croatia.
LihatTutupKomentar