ENGLAND YAANZA VIZURI KOMBE LA DUNIA "TUNISIA TIMU YA KWANZA KUWAFUNGA WAINGELEZA



Mzimu wa WA Africa waendelea kutesa kombe la Dunia
Tunisia waafrika wa kwanza kuwafunga Uingereza tangu 1990
Ni mpinzani mmoja tu kutoka Afrika amewahi kufunga goli dhidi ya Uingereza.
Kabla ya mechi ya leo, Roger Milla wa Cameroon ndiye aliweza kuweka historia wakati Uingereza ilipofungwa bao na timu kutoka Afrika.
Uingereza imecheza dhidi ya timu ya Afrika kombe la dunia mara 6.
Mchuano huo ulipigwa 1990 na ulimalizika kwa ushindi upande wa Uingereza 3-2.

Tunisia imeshuka dimbani dhidi ya England ikiwa timu ya nne ya Afrika kupoteza katika mechi ya Kombe la Dunia Urusi.



Matokeo ya Kombe la Dunia Mpaka dakika 90 zinamalizika.  
      TUNISIA 1-2 England 
LihatTutupKomentar