VODACOM PREMIERE LEAGUE LATIBA YAKUFUNGA MSIMU LEO

Je Nani anaweza kuyaaga Mashindano haya kwa kuinamisha vichwa chini

Yanga SC vs Azam FC - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam (Saa 2:00 Usiku)

Majimaji FC vs Simba SC - Uwanja wa Majimaji, Songea (Saa 10:00 Jioni)

Ndanda FC vs Stand United - Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara (Saa 10:00 Jioni)

Lipuli vs Kagera Sugar - Uwanja wa Samora, Iringa (Saa 10:00 Jioni)

Tanzania Prisons vs Singida United - Uwanja wa Sokoine, Mbeya (Saa 10:00 Jioni)

Njombe Mji vs Mwadui FC - Uwanja wa Sabasaba, Njombe (Saa 10:00 Jioni)

Mbao FC vs Ruvu Shooting FC - Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza (Saa 10:00 Jioni)

Mtibwa Sugar vs Mbeya City - Uwanja wa Jamhuri, Morogoro (Saa 10:00 Jioni)

LihatTutupKomentar