SIMBA VS LIPULI YASOGEZWA MBELE LATIBA

odi ya Ligi ya TFF imefanyia mabadiliko ya mchezo wa ligi kuu bara kati ya Lipuli FC dhidi ya Simba SC uliopangwa kupigwa Ijumaa ya Aprili 20 2018.
Mchezo huo umebadilishiwa tarehe na sasa utachezwa Jumamosi ya Aprili 21 2018 katika Uwanja wa Samora mjini Iringa.
Sababu za kusogezwa mbele mchezo huo ni wamiliki wa kuutumia Uwanja wa Samora kwa shughuli nyingine za kijamii.

LihatTutupKomentar