MECHI YA YANGA KESHO LIVE KUPITIA

Habari njema kwa Watanzania wote ni kuwa mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga dhidi ya Wolaita Dicha Fc utakuwa mbashara.
Moja kwa moja kutoka Hawassa, Ethiopia, kituo cha Azam FC kitaonesha mchezo huo utakaofanyika kesho Jumatano kupitia kituo cha Azam TV kuanzia saa 10 kamili jioni.

LihatTutupKomentar