Yanga na Mtibwa sugar hakuna mbabe

Ligi kuu Tanzania bara imeendelea leo kwa kupin gwa mechi 7 kwa viwanja tofauti, huku Jijini Dar es salaam Yanga ikicheza na Mtibwa sugar ya mkoani morogoro,mchezo wa Yanga na mtibwa dakika zote 90 za mchezo zikimalizika kwa kutoka sare yakuto kufungana.                                                                              
LihatTutupKomentar