Tetesi za Usajili ulaya.

Mstakabali wa meneja wa Chelsea Antonio Conte uko mashakani klabuni hapobaada ya mwenendo wa shughuli nzima ya usajili katika klabu hiyo (Daily mirror)


Hatua ya Manchester United kutaka kumsajiri Romelu Lukaku 24 ,haihusiani Na Mkataba Ambao utumrejesha Wayne Rooney 31 Everton.


Chelsea bado wanataraji kumsajiri Romelu Lukaku 24,licha ya taarifa kuwa mchezaji hiyo Amekubali kuhamia Man U kwa dau la pauni milioni 75 kutoka Everton.
LihatTutupKomentar