SIKIA YA MAN U KWA LUKAKU.

Ijumaa ya July 7,2017 Taarifa zilienea katika vyombo mbalimbali vya habari,Taarifa hizo zilikuwa zikimuhusisha mshambulia wa Everton Lukaku kwamba Anakwenda Manchester United kwa msimu wa 2017/2018.


Taarifa man u imesema ilipekeka dau kwa Everton kwaajili ya kunasa saini ya Lukaku.
Chelsea nayo inasemekana kwamba walipeleka dau sawa na la Man U ili kumnasa Lukaku,na wai wamepeleka dau Kama hilo Ambalo Man U Ametoa kwaajili ya kumpata Lukaku.


Man u imethibitisha kweli wmepeleka dau kwa Everton,na Everton wamekubali dau hilo kumuachia Lukaka Aende Man U.


Mbinu Chelsea.
Chelsea wanatumia mbinu Ili man u wasiweze kumpata Lukaku kwa kumtoa Everton.
Chelsea nao wanatumia dau Ambalo man u kalitoa kwenda United.
LihatTutupKomentar