TAIFA STARS YATUPWA NJE MICHUANO YA CHAN, YASHINDWA KUIFUNGA RWANDA

Na IMANI SADICK  Taifa Stars Imetolewa nje katika michuano ya kuwania kucheza Chan.  Stars Imetolewa baada ya sare ya bila kufungana dhidi ya Rwanda katika mechi iliyopigwa kwenye uwanja wa Amahoro Jijini Kigali.  Kwakuwa stars na Rwanda zilitoka sare ya bao 1-1 mjini kirumba hivyo Rwanda inasonga Mbele
LihatTutupKomentar