NA IMANI SADICK Aliyekuwa Kiungo Wa Mbeya City (Raphael Daud Alpha ) Amesaini Mkataba Wa Miaka Miwili Kuitumikia Klabu Ya YANGA Yenye Makao Makuu Jijini Dar Es Salaam Kiungo huyo Anatajwa Kumrithi HARUNA NIYONZIMA ambaye Aligoma kuongeza mkataba na klabu hiyo. Aidha kiungo huyo Baada ya Kusaini mkataba huo Haraka amejiunga kwenye Kambi Ya Klabu Hiyo Iliyopo MOROGORO. Kwa Habari Zaidi Enderea Kuwa NASI Mkomesportsnews.bogsports.com