YANGA VS USM ALGER KUPAMBANA MCHANA


Jumapili May 7 2018 Mabingwa wa soka nchini Yanga ambao ni wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kombe LA shirikisho watashuka Dimbani huko Alger nchini Algeria kucheza na Wenyeji wao USM Alger

Muda wa Mechi USM Alger vs Yanga 7 May 2018
Mechi ya Yanga na USM Alger itaanza majira ya saa saba mchana kwa saa za Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya na Uganda).

CHANELI Itakayoonyesha mechi ya Yanga na USM Alger
Wenye king’amuzi cha Azam Tv watashuhudia mchezo huo Kupitia ZBC 2 Mechi hiyo Itakuwa Live Kuanzia saa saba mchana.

LihatTutupKomentar