NA IMANI SADICK YANGA USO KWA USO NA SINGIDA UNITED MECHI YA KIRAFIKI MNAMO TAREHE 05 /08 /2017 Katika Uwanja Wa Taifa Jijini Dar Es Salaam Kutakuwa NA Pambano LA Kukata NA Shoka Kati Ya Mabingwa Wa Tanzania YANGA NA Klabu Iliyopanda Daraja Msimu Huu SINGIDA UNITED Inayonolewa Na Aliyekuwa Kocha Wa Zamani Wa YOUNG AFRICA (YANGA) HANS VAN DER PLUIJM Raia Wa Uholanz Kutokana NA Kocha Huyo Hiyo MECHI Inatazamiwa Kuwa Ya Kusisimua Kwa Kuwa Kocha Wa Singida United Aliifundisha YANGA Kwa Mafanikio Makubwa Kabla hajaachana NA Team Hiyo. Kwa Habari Zaidi Enderea Kuwa NASI KATIKA BLOG YETU AMBAYO NI Mkomesportsnews.bogsports.com