NA IMANI SADICK Aliyekuwa Mchezaji Wa Klabu Ya YANGA Saimon Msuva Amesaini Mkataba Wa Miaka Mitatu (3) Katika Klabu Ya El Jadida nchini Morocco. Msuva Alisaini MKATABA huo jana majira ya saa 05:00 Jion Kuitumikia Klabu hiyo KWA HABARI ZAIDI ENDEREA KUA NASI Mkomesportsnews.bogsports.com
Simon Msuva katika Picha