Klabu ya Yanga imefikia makubariano ya kuongeza mkataba wa mchezaji Matheo Anthon ili kurndelea kukitumikia kikosi hicho.
"Nashukuru viongozi wangu kwa kufanikisha zoezi hili, nina furaha kusaini mkataba mpya . . naahidi ntarudi kivingine kabisa ntajitahidi niingie kikosi cha kwanza na kuwa msaada kwa timu yangu, ahsante mashabiki endeleeni kunipa support awamu hii ntawafurahisha."