EMMANUEL OKWI AJIUNGA KAMBINI AFRICA KUSINI

NA IMANI SADICK  Mshambuliaji Wa Klabu Ya SIMBA Emanuel OKWI Ametua Sauzi Kuungana na wenzake walioko KAMBINI hapo nchini Afrika Kusini. Aidha Mshambuliaji huyo Leo amefanya mazoezi na wenzake  Kwa Habari Zaidi Enderea Kuwa NASI Mkomesportsnews.bogsports.com
LihatTutupKomentar