RAMADHANI KABWILI ASAINI MIAKA 5 YANGA

Na IMANI SADICK  Klabu Ya YANGA imefanikiwa kunasa Sain ya Golkipa wa Timu Ya Taifa ya Tanzania (Serengeti Boys) Under 17 Ramadhani Kabwili kwa Mkataba Wa Miaka Mitano  Kabwili Ana miaka 17 Akikuzwa Vyema na academy ya AZAM na Timu ya Serengeti boys. Baada Ya Kusaini mkataba huo Klabu Ya YANGA imefikia Idadi Ya Magoal Kipa 3 Wawili Wazawa NA Mmoja Wa Kigeni  (1) Youthe Rostand  (Mcameroom)   (2) Beno Kakolanya (Mzawa)   (3) Ramadhani Kabwili (
Mzawa)
LihatTutupKomentar