FIFA KUPIGA KAMBI TFF.

Na Emmanuel Mkome.




Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) linatuma wajumbe wake kuja nchini kufanya kikao cha pamoja Na Uongozi wa mpira wa miguu hapa nchini (TFF)


wajumbe wa FIFA wanakuja kwa tuhumu zilizpo kwenye Uongozi wa mpira wa miguu hapa nchini zinazo mhusisha Rais wa TFF Jamal Malinzi Na katibu mkuu Selestine Mwesigwa baada ya kupandisha kizimbani,kusomewa mashtaka yanayo wakabili ikiwemo Utakatishaji wa Fedha.


Makamo wa Rais wa Tff Wallece karia Amethibitisha ujio wa FIFA nchini kwamba FIFA kutua nchini kwaajili ya kikao cha pamoja Na TFF.
LihatTutupKomentar