

Na MWandishi Wetu.Mabingwa wa ligi Kuu ya England (Chelsea) Wametangaza Uzi wao msimu wa 2017/2018.
Chelsea misimu miwili iliyo pita walikuwa wanatumia kampuni ya adidas
mkata wao Na kampuni ya adidas umeisha Mei mwaka huu.
Msimu wa 2017/2018 Chelsea watatumia Uzi wa kampuni ya NIKE.Ambavyo watatumia Uzi wa rangi ya Blue wakiwa katika Uwanja wao,Na Mabingwa hao wa EPL watatumia rangi nyeupe wakiwa nje ya uwanja wao.