JKT RUVU YAPOKEA KIPIGO CHA MBWA MWITU

Jkt ruvu yapokea kipigo 4-0 kutoka kwa Dar Yanga African, huku  magoli mawili yakipachikw na Amis Tambwe na moja Donaard ngoma sambamba  na Simon msuva akipachika goli lake la nne katika  ligi.
  Katika mchezo huu  uliopigwa uwanja wa  uhuru jijini  Dar es salaam huku mwenyeji wa  uwanja  huo akiwa Yanga African, kocha msaidizi wa Yanga African Mwambusi akisema mchezo ulikuwa mzuri kwao na wameweza kunyakuwa point tatu zote ambazo kwa sasa wakifikika pinti 24 wakiwa nafasi ya pili dhidi ya watani wao simba Sc wakiwa vinara wa ligi hio.
 Kocha wa Jkt ruvu asema mchezo kwao ulikuwa mgumu ila  wapokea hayo matokeo kwa katika  mpira kuna kushinda na kushindwa kwa  hiyo wanaamini mchezo ujao watarekebisha makosa waliofanya  kwenye mchezo wa leo kwa hiyo watafanya vizuri pili aliwaomba mashahabiki wake wawe na amani na timu yao itafanya vizuri.
 
LihatTutupKomentar