Yanga ya bakiza point tatu kutwaa ubingwa.

Yanga yazidi kujipatia point tatu,yanga imepata point tatu muhimu badaa ya kuichapa wapiga Debe (stand united) ya shinyanga,magoli ya yanga yamewekwa wavuni na Donald ngoma dakika 10 ya mchezo,nakuifanya stand kucheza kwa kushambulia goli la yanga, dakika ya 38 Donald ngoma haka pata goli la 2,goli la tatu Hamis tambwe,hivyo Hamis tambwe kafikisha magoli 20,uku mpinzani wake Hamissi kiiza hakiwa na mabao 19,Yanga inahitaji point tatu muhimu,ili iweze kutwaa taji la ligi kuu Tanzania bara

LihatTutupKomentar