wachezaji wazawa ligi kuu Tanzania bara majipu tu.

Tunaona ligi kuu Tanzania bara ikielekea kumalizika, tunaona wachezaji wazawa wakishindwa kupachika magoli jambo ambalo linawafanya,wachezaji raia wa kingeni kupachika mabao mengi,hivi kweli ligi iko mwishoni lakini hakuna mchezaji mzawa wa ligi yetu ambae hata nafasi ya pili au ya tatu, mchezaji wa stand ya shinyanga (Elias maguli) halikuwa tishio lakini sasa hivi ana magoli kumi 11 ni sawa na Jeremiah Juma wa (prison),ligi ikiwa inakalibia kumaliza bahazi ya timu zikiwa zimebakiza michezo minne,bado tunaona Amissi Tambwe (yanga) akiwa na magoli 19,ni sawa na Hamis kiiza (simba) Mwenye magoli 19,wa pili akiwa ni Donald ngoma (yanga).
LihatTutupKomentar