yanga kuwafata Esperanca Angola

Timu ya yanga inatengemea kuondoka jumapili kesho kwenda kupambana na timu ya Esperanca ya angola mchezo wa marudiano wa kombe la shirikisho barani Afrika,yanga inaenda angola uku ikiwa na mtaji wa magoli 2,yanga inahitaji sare yoyote ili iweze kusonga katika hatua ya makundi,na mchezaji wa kimataifa raia wa Zimbabwe Donald ngoma Akidai kwamba lazima Esperanca hawafunge,kila la kheri yanga kwa mchezo webinar.
LihatTutupKomentar