mayanja sijutii sare

Timu ya simba imetoa sare juzi na majimaji,uku kocha wa timu hiyo jackson mayanja akisema hajutii sare hiyo "siwezi kujutia sare ya leo kwani nimetumia wachezaji ambao wako chini ya miaka 20 yani kikosi cha pili" halisema hayo kocha mayanja mara baada ya mchezo wao na majimaji ya songea
LihatTutupKomentar