Simba sc wakanusha biashara ya barakoa zilizopo mtaani
"Simba SC haihusiki na barakoa zilizopo sokoni hivi sasa.
Kwa sasa tunaangalia hatua za kuchukua juu ya watengenezaji wa barakoa hzo.
Klabu inakuja na mradi mkubwa juu ya udhibiti wa matumizi ya jina letu kibiashara."