WILLIAN APELEKA KILIO TOTTENHAM ATUPIA ZOTE MBILI
Willian akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Chelsea mabao yote mawili dakika za 12 akimalizia pasi ya Mateo Kovac na ya 45 na ushei kwa penalti katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur inayofundishwa na kocha wao wa zamani, Jose Mourinho kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England