MATOKEO YA SIMBA VS ARUSHA UNTD HAYA HAPA

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck leo yupo benchi kwa mara ya kwanza akiongoza kikosi chake kinachomenyana na Arusha FC  mchezo wa Kombe la Shirikisho Uwanja wa Uhuru.

Mpira kwa sasa ni kipindi cha kwanza Simba inaongoza kwa bao 2-0.

Dakika ya 18 Clatous Chama anafunga bao la kuongoza baada ya mlinda mlango wa AFC kutema shuti lililopigwa na Meddie Kagere.

Dakika ya 24 kiungo wa Simba, Gerson Fraga anafunga bao la pili kwa Simba akiwa nje ya 18 akimalizia pasi ya Ibrahim Ajibu
Mpaka sasa simba 4-0 Arusha untd
LihatTutupKomentar