SIMBA SC YAAPA KUFIA UWANJANI


PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa leo watapambana kupata matokeo mbele ya UD do Songo utakaochezwa nchini Msumbiji. 

Simba jana ilikwea kwa dege binafsi ambapo ilifanya mazoezi ya mwisho  jana kabla ya leo kumenyana na wapinzani hao. 

Mchezo wa huu wa awali unachezwa leo kabla ya ule wa marudio unaotarajiwa kuchezwa kati ya Agosti 23-25 Dar. 

"Wachezaji wapo sawa na kila mmoja anatambua kazi yake ni kupata matokeo. 

"Tupo tayari kwa ajili ya kupata matokeo chanya imani yetu utakuwa mchezo mgumu ila tutapambana kufikia malengo yetu," amesema

LihatTutupKomentar