URENO YATWAA KOMBE LA ULAYA


Nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo akiwa ameinua Kombe la Ligi ya Mataifa ya Ulaya baada ya kukabidhiwa kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Uholanzi, bao pekee la Goncalo Guedes dakika ya 60 Uwanja wa Do Dragao mjini Porto timu ya taifa ya Ureno imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ulaya kwa ushindi wa goli 1-0

URENO: Patrício, Semedo, Fonte, Dias, Guerreiro, Fernandes (Moutinho), Danilo, Carvalho, Silva, Ronaldo, Guedes (Silva)

Unused substitutes: Cancelo, Sousa, Jota, Malheiro de Sá, Neves, Rui, Fernandes, Beto, Felix 

Goals: Guedes (60)

UHOLANZI: Cillessen, Dumfries, de Ligt, van Dijk, Blind, de Roon (de Jong), de Jong, Wijnaldum, Bergwijn (van der Beek), Depay, Babel (Promes)

Unused substitutes: Hateboer, Aké, Pröpper, van Aanholt, Vermeer, de Vrij, Strootman, Vilhena, Bizot

LihatTutupKomentar