Klabu ya Yanga imeendelea kuonesha makucha yake baada ya kumalizana na kiungo Patrick Sibomana kutoka Rwanda.
Yanga imezidi kuboresha kikosi chake kutokana na wachezaji wengi kumaliza mikataba yao msimu huu uliomalizika.
Sibomana anakuwa mchezaji wa tatu kumwaga wino Yanga baada ya Papy Tshishimbi na Issa Bigrimana kumalizana na timu hiyo.
Usajili huu umekuwa pendekezo la Kocha Mwinyi Zahera ambaye amekabidhiwa majukumu ya kuhakikisha anapendekeza wachezaji wanaopaswa kusajiliwa