LIVERPOOL YAREJEA KILELENI YACHAPA MTU 5-0

Majogoo wa jiji Liverpool wameendeleza dozi ya katika Ligi Kuu Uingereza kwa kuitandika Huddersfield jumla ya mabao 5-0. 

Mabao ya Liverpool yamewekwa kimiani na Sadio Manne na Mohamed Salah waliofunga mawili kila mmoja huku Nabi Keita naye akicheka na nyavu mara moja. 

Msimamo wa Ligi unaonesha Liverpool wamerejea kileleni wakiwa mbele kwa alama mbili dhidi ya Manchester City wakiwa na alama 91 huku City wakiwa na 89. 

LihatTutupKomentar