Ratiba Ligi Kuu Tanzania bara leo 6 March 2019

Ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL itaendelea leo kwa mchezo mmoja kuchezwa katika uwanja wa Namfua uliopo mjini Singida.

Mechi hiyo itazikutanisha wenyeji Singida United ambao watakuwa na kazi ya kupepetana na Ruvu Shooting kutoka mkoani Pwani.

Mechi Hiyo Itaanza majira ya saa 10 kamili alasiri huko mkoani Singida na mkomesportnews tutakupa matokeo ya Moja kwa moja

LihatTutupKomentar